Katili huna nafsi, huna huruma
Ata kwa ushahidi, macho nilifumba
Sitaka kuamini, Niliogopa itaniuma
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za mda mfur, penzi bahari umelitosa
Kawekeza mda mwingi, kumbe bure najichosha
Iweje wewe, toliojenga kwa juhudi, umebomoa
zile ndoto na minango, ya kufunga ndoa
Jeraha, subiri lipone, bado naliunguza
Jeraha, uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Jeraha, subiri lipone, bado naliunguza
Jeraha, uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Hmm
Wajua wataki mwengine, najiuliza
Au pengine haya mapenzi yana wenyewe
Ama pengine mimi ndio sina bahati
Au pengine tu wangu ndio hajazaliwa
Mana kila minapojitweka imani
Kila ninapoanza safari ya mapenzi
Meli inapongoa nanga tu inagueka feri mtongwe
Hhh, Damni siaminii
After all, we have been through
How do you sacrifice so much for so little
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za mda mfur, penzi bahari umelitosa
Kawekeza mda mwingi, kumbe bure najichosha
Iweje wewe, toliojenga kwa juhudi, umebomoa
zile ndoto na minango, ya kufunga ndoa
Jeraha, subiri lipone, bado naliunguza
Jeraha, uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Jeraha, subiri lipone, bado naliunguza
Jeraha, uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio