Otile Brown Leilah Lyrics, Paroles

Leilah

20 July 2020
1.1K

Otile Brown Leilah Lyrics

Oooh yeah

Aah aah yeiyeee

Alright


Anaitaka hapati

Alijaliwa kidhamini

Yeiyei yeiyee mmmh


Hakika mwana akipenda kweli

Atapigana vita vingi

Aibu sio penzi

Hivyo unampendea nini

Wakati kila kutwa anakuliza

Unang'ang'ania nini

Ni zaidi ya heri sivuti

Wanaume wengi ni kama [?]

Hawamaanishi wasemacho

Ni waongo hawafai

If I was your lover

Ningedhamini penzi lako

Style bora

Mwanamke anahitaji matunzo


Leilah, Leilah

Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo

Leilah, Leilah

Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo


Changu chako, chako changu mi nawe, na wewe

Tena niacha utoto, kutwa kucha machangu, nikuoe

Nitakuwa shujaa wako [M] nitaliwaza [?] mama

Ukinihitaji mama, nipigie simu yangu


Nitakuwa shujaa wako mama

Nitaliwaza mama

Nitakufariji mama

Nipigie simu yangu


Nitakuwa shujaa wako mama

Nitaliwaza mama

Nitakufariji mama

Nipigie simu yangu


If I was your lover

Ningedhamini penzi lako

Style bora

Mwanamke anahitaji matunzo


Leilah, Leilah

Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo

Leilah, Leilah

Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo

Leilah, Leilah

Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo


If I was with you Leilah

If I was with you Leilah

If I was with you Leilah

si j'etais avec toi ?

If I was with you Leilah


Ningekupenda ipasavyo my beiby

Si c'etait moi ?

Wo oh


Other song(s) of Otile Brown

Trendings Lyrics

00:00 00:00