Otile Brown Mama lyric

Mama

Otile Brown Otile Brown
14 April 2022
120

Otile Brown Mama Lyrics

Hm, hm, hmmmm

Sema mami natamani anga mara moja, uamke nikuone
Sikuwahi kukuambia nakupenda kabla uondoke
Na ina ichoma moyo wangu, Ina ikwaza nafsi yangu
Mana sikupata mda mama yangu, ya kuomba msamaha wa kosa langu
Sometimes najifungia chumbani mwenyewe, Najiliza kama mtoto

Je unajivunia mimi kua mwanako wewe, kwenye hii dunia yenye changa moto
Tena bado nazingatia mafunzo yako, busara heshima na upole
cI miss you, yani Leo zaidi ya jana
Hasa siku kama hii

I miss you, nime jifunza mengi sana toka uniage mama
Mapenzi mwenyewe mama yako, mungu akupe radhi daima
Kipenzi changing cha moyo, cha kukulipa sina
Shukrani kwanza kwakunileta hii dunia, ungeweza kuitoa mimba yangu

Ila ukachagua ni ishi mama, Ninakuonaga unavyojinyima nipate
Izo shida nazishuhudia
Nasijawai kujutia kua mwanao mama
Ahh mama nataka ujue nashukuru

I love you, yani Leo zaidi ya jana
I love you mama, na najitahidi sana nikupendeze mama yangu
Na bado nazingatia mafunzo yako, busara heshima na upole
yani Leo zaidi ya jana
 
Comments

Other song(s) of Otile Brown

Otile Brown
Otile Brown
Otile Brown
Otile Brown

You may also like these lyrics

00:00 00:00