Otile Brown Watoto na pombe Lyrics, Paroles

Watoto na pombe

03 June 2020
1.8K

Otile Brown Watoto na pombe Lyrics

Aaah aah... Aaah aah

Aaah aah... Aaah aah


Ooh bizee napiga hela kama benki

Wanapiga swagga ila haiketi

Looku sipigi hutopata navaa feki

Leo Gucci au Prada

Pengine glasi za [?]


Nasema zaidi ya Donna na Tanasha

Simba wenu manyasi menu hai

Sinaga nyama sishoboki

Hata ngoma zikiuma


Still Sipendi mazoea

Hata ukinichekea,..


Baby [?] nkujumuike nasi

Kama hata kinywaji acha wasi wasi

Kama Tinga linazima ita Taxi

And it's all on me

Bado nasoma namba

Mi naye watoto ni darasa

Guza selfie nitakukacha


Watoto na pombe, watoto na pombe

Watoto na pombe,nilichofuata ni

Watoto na pombe, watoto na pombe

Pombe, watoto na pombe


Pombe... (aaaaaah) totoza

Pombe... (aaaaaah) totoza


Wananiita Sultan huku ghetto

Njoo nikuonyeshe maisha ya Majengo

Tupitie Mpambe tule wali

Twende Pangani tuchane majani

Aah naona umevaa mini

Na unashinda ukiivuta vuta chini

Ni hio haga inainua sio siri

Samahani ni macho sio mimi

Tumefika humu ndani ya giza

Usijali bei nitalipa

Kidogo msupa akaitisha

Nikasikia ameitisha King Fisher

Eey if you know you know (You know)

King Fisher panty remo- aiii

Manze ni leo, leo ndio leo

Kwa nyundo leo watoto na vileo


Baby [?] nkujumuike nasi

Kama hata kinywaji acha wasi wasi

Kama Tinga linazima ita Taxi

And it's all on me

Bado nasoma namba

Mi naye watoto ni darasa

Guza selfie nitakukacha


Watoto na pombe, watoto na pombe

Watoto na pombe, nilichofuata ni

Watoto na pombe, watoto na pombe

Pombe, watoto na pombe


Pombe...(aaaaaah) totoza

Pombe...(aaaaaah) totosha


Na iwake,

Whiskey River na Kisa

B Club, Golden Ice

Na iwake

Ooh ni starter pass

Plug na seven D


Na iwake,

Whiskey River na Kisa

B Club, Golden Ice

Na iwake

Ooh ni starter pass

Plug na seven D

Na iwake,


Na Milan pia

Njuguna's na ka local pub

Kwa mama Esther I see you

Moraa..            

Other song(s) of Otile Brown

Trendings Lyrics