Rayvanny Ccm Wayaaa! Lyrics, Paroles

Ccm Wayaaa!

09 July 2020
14

Rayvanny Ccm Wayaaa! Lyrics

Wayaaa! Wayaaa!

Wayaaa!


Kama kapiga kichuya Wayaaa!

Kama kafunga Messi Wayaaa!

Kama kapiga Msuva Wayaaa!

Kama kafunga Ronaldo


Magufuli kapiga kachapa Wayaaa!

Wapinzani wameshindwa kudaka Wayaaa!

Kwenye chama karudi Lowasa Wayaaa!

Tunawafunga kama Samata Wayaaa!


Kipondo kipondo

Lazima tuchukue ndoo

Tunavyowapa kipondo

Kama Barcelona kacheza ndondoo


Kipondo kipondo

Lazima tuchukue ndoo

Tunavyowapa kipondo

Kama Barcelona kacheza ndondoo


Barabara kama mbele Wayaaa!

Kacheza kama Pele Wayaaa!

Tena reggea zipo tele Wayaaa!

Shule bure bila kwere Wayaaa!


Kwenye afya kilimo asante Wayaaa! 

Umecheza kama Ngolo Kante Wayaaa!

Standard gauge mwendo kasi mwake Wayaaa!

Umetisha kama Mbape 


Kipondo kipondo

Lazima tuchukue ndoo

Tunavyowapa kipondo

Kama Manchester kacheza ndondoo


Kipondo kipondo

Lazima tuchukue ndoo

Tunavyowapa kipondo

Kama Arsenali kacheza ndondoo


Wamebana wameachia

Samia, Suluhu kapiga shuti mbele

Wamebana wameachia

Kassim Majaliwa kama ameandika gere


Wamebana wameachia

Dr Sheni kawakaba shingoni

Wamebana wameachia

Mwake amepanda mpira kama Morrison


Pole pole anapiga shuti Wayaaa!

Mangula anapiga shuti Wayaaa!

Mangwala anapiga shuti Wayaaa!

Makonda anapiga shuti


Wigulu chemba anapiga shuti Wayaaa!

Majaliwa anapiga shuti Wayaaa!

Mama Samia anapiga shuti

Magufuli anapiga shuti Wayaaa!


Kona goli ...eeeh!

Kona goli ...eeeh!

Kona goli ...eeeh!

Kona goli ...eeeh!

Other song(s) of Rayvanny

Trendings Lyrics

00:00 00:00