Rayvanny Forever lyric

Forever

Rayvanny Rayvanny
10 February 2023
147

Rayvanny Forever Lyrics

[Intro]
Forever, Forever
Forever, Forever
Forever, Forever
Forever, Forever

[Verse 1]
Nilianza kukiskia Sauti Yako kable sijaona sura
ikafanya nikagueka...
Macho yangu yakakutana na yako, oooh Mashallah
Nikahisi malaika ameshushwa
Maana Rangi, Macho, Umbo lako likanivuta kwako Tuongee
Nikakuukiza jina Lako, Namba, Yako
Ndio ulikua mwanzo wa mi na wewe
Uuuh babe

[Chorus]
Umenifungulia Dumia ya mapenzi
Nimesahau mateso
Nakufungulia dunia yakukuenzi we ni wangu leo na kesho
Eeeh eeh

Nakupenda, sikauchi we ni wangu, I promise
Nakutata, Kando yangu Sikuachi, I promise
Mi na wewe

Forever, Forever
Forever, Forever
Forever, Me and You!
Forever, Forever
Forever, Forever
Forever, Me na We!
Nitazikwa wawe!

[Verse 2]
Mtoto mbichi teketeke aki mama umelainika
Umeeumbika Acha nikumwagie sifa
Waruke sarakasi na mateke uzuri wako hawatofika
Umejazisha Mikate yakumiminisha
Babe waonyeshe checko (cheko)
Wape mideko(deko)
We mzumri, filter na make up waachie wao
Na unawapa mateso(Teso) watajifunika leso
Waonyeshe kiburi wajue wewe ndi mama lao
aiyaaaa yaaaah!!!

[Chorus]
Umenifungulia Dumia ya mapenzi
Nimesahau mateso
Nakufungulia dunia yakukuenzi we ni wangu leo na kesho
Eeeh eeh

Nakupenda, sikauchi we ni wangu, I promise
Nakutata, Kando yangu Sikuachi, I promise
Mi na wewe

Forever, Forever
Forever, Forever
Forever, Me and You!
Forever, Forever
Forever, Forever
Forever, Me na We!
Nitazikwa wawe!
Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00