Rayvanny Kiuno lyric

Kiuno

Rayvanny Rayvanny
01 February 2021
85
0
0

Rayvanny Kiuno Lyrics

Mocco!

Baby baby aiyayaya

Michepuko ya zamani bye bye bye

Mi naji dai dai dai

Ah we sio giri shela dai dai dai


Zungusha pepeta ungo

Nipe mambo ya gizani ya mafumbo

Geuka onyesha umbo

Jiachie wala usibane tumbo


You will forever be my always (Ayaa eeh)

Cake of my birthday (Ayaa eeh)

Director of my all ways

Baby you took some days to be holidays


We ndo kiboko ya chunusi na harara

We zaidi yao (Hao)

Sura yako hata ukitoka kulala

Bado zaidi yao (Hao)


Basi kata taratibu (Kiuno)

Kiuno cha paka chombo (Kiuno)

Panga boyfriend mbovu (Kiuno)

We pinda mpaka mgongo (Kiuno)


Nipe uno la uzazi (Kiuno)

Mpaka chini kwa udongo (Kiuno)

Basi ka hii, katika (Kiuno)

Kama unatoka Congo (Kiuno)


Kanitesa Suzy, kanitesa Monica

Kanitesa Juvele, kanitesa Winny


Ila si wewe, wewe, mama eeh 


Ya wawili mapenzi oo

Wa tatu siwezi oo

Usisikie maneno maneno

Maneno yatakuumiza roho


Ya wawili mapenzi oo

Wa tatu siwezi oo

Usisikie maneno maneno

Maneno yatakuumiza roho roho roho


Mama nipe yote, tamu nipe yote 


You will forever be my always (Ayaa eeh)

Cake of my birthday (Ayaa eeh)

Director of my all ways

Baby you took some days to be holidays


We ndo kiboko ya chunusi na harara

We zaidi yao (Hao)

Sura yako hata ukitoka kulala

Bado zaidi yao (Hao)


Basi kata taratibu (Kiuno)

Kiuno cha paka chombo (Kiuno)

Panga boyfriend mbovu (Kiuno)

We pinda mpaka mgongo (Kiuno)


Nipe uno la uzazi (Kiuno)

Mpaka chini kwa udongo (Kiuno)

Basi ka hii, katika (Kiuno)

Kama unatoka Congo (Kiuno)


Tupate moja moto, moja baridi

Cheza cheza bila kutoka jasho

Nyama choma supu ya digi gigi

Cheza cheza bila kutoka jasho


Kiboss bosi, kibeveje

Cheza cheza bila kutoka jasho

Tumia pesa ikuzoee

Cheza cheza bila kutoka jasho
Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00