Rayvanny Mama La Mama Feat Mr Blue lyric

Mama La Mama Feat Mr Blue

Rayvanny Rayvanny
09 February 2020
3.6K
0
0

Rayvanny Mama La Mama Feat Mr Blue Lyrics

Mama, mama, mama

La mama ehh


[Rayvanny]

Mola amenipa sauti niimbe

Nikuimbie wewe aiih

Woman of my life baby mama

Nakupa mabawa fly

Nai atadout apime uzuri wako wewe my

Material wife huna drama, niende kwa mwingine why

Cha mapenzi kina kipime

Uone dhahiri upendo wangu

Usije kunitupa weweee (aaaaah wewe)

Sina mwingine, na sitobadili chauo langu

Moyo wangu nakupe wewe (ah wewe)

Chocolate color nywele laini

Lips mafuta na zinashine

Nguo za kung'ara hiyo dizaini

Thanks to de lord now your mine

Sema pwani ama bara

Wapi fine

Tukitoka out tukanywe wine

Figure 8 kinara sio 9

Unapenda wasafi tutakusign


[Chorus]

We ndio

Mama mama mama

La mama we ndio

Mama mama mama

La mama we ndio

Mama mama mama

La mama we ndio

Mama mama mama

La mama we ndio ama mama mama

La mama


[Mr Blue]

Nikitazama sura yake namuona model

Naiona taswira ya adabu sioni nyondo

Nauona mpapai alafu naokota embbe dodo

Nawaona wasiopenda amani wote macho kodo

Mgepeleka wapi, hichi kichwa kigumu

Ningepata wapi, mwanamke wakudumu

Ajiunge na wasafi, tusukume gurudum

Namnajuaga sitaki, haya mambo yakunywa sumu

Mama la mama, oh mama mia

Kwako nimezema nmezama nmezamia

Niihifadhi kama maji,kwenye mwili wa ngamia

Usijali kuhusu mambo ya tango na vibmia

Nichakaze shori

Nikanyage sorry

Kwangu kuwa mchaga asubuhi nile kama mtori

Tafadhari shori

Usinipandishe mori

Na ukinipa nyama naila kama nyama pori


[Chorus]

We ndio

Mama mama mama

La mama we ndio

Mama mama mama

La mama we ndio

Mama mama mama

La mama we ndio

Mama mama mama

La mama we ndio


Comments

00:00 00:00