Rayvanny Mama lyric

Mama

Rayvanny Rayvanny
01 February 2021
153

Rayvanny Mama Lyrics

Oh garuko garuko garuke

Oh garuke mwana wange

Oh garuko garuko garuke

Oh garuke mwana wange


Ayee balindi niwe wanyu

Balindi niwe wanyu

Balindi niwe wanyu

Na marefu umepita mwanangu


Tangu umefunga safari yeah yeah

Kurudi nyumbani uje uone hali yangu

Nakosa chumvi sukari yeah yeah

Kila siku nakonda kufikiria sembe

Wapi nitapata mboga familia iende

Baba yako mgonjwa hashiki hata jembe

Kutoka '91 sina kipya kitenge


Kafukuzwa shuleni, mdogo wako Jane

Na mengine sisemi maiyoo

Sikai sebuleni nikiona wageni 

Nakimbia madeni maiyoo


Nitarudi mama, mama

Nitarudi mama, mama

Nitarudi mama, mama

Nitarudi mama, mama

Nitarudi mama, mama

Nitarudi mama, mama


Heshima yako mama 

Hukuwa pole na baba

Mambo yatakuwa sawa

Sipendi ukilalama


Kazi zimenijaa 

Nahustle kupata chapaa

Nitakuja na pesa nyumbani 

Sahau kuhusu dagaa


Si unapendaga pete na chain

Nitaleta za Gold

Mwambie mdogo wangu Jane

Nitampeleka boarding


Nitakujengea nyumba bondeni

Uache kulipa kodi

Nitakulipia yote madeni

Usigongewe hodi


Mwambie baba asijali

Atapona tutaenda hospitali

Asilie atakuwa shwari

Siku yake ya birthday nitampa gari


Machozi yanilenga

Siku zinakwenda mama 

Sala zenu wapendwa

Ndo zitanijenga sana


Sijawatenga sikupigi kalenda mama

Mungu akipenda yote nitatenda mama

Naomba unisubiri nyumbani

Nitarudi mama mama 


Nitarudi mama, mama

Nitarudi mama, mama

Nitarudi mama, mama

Nitarudi mama, mama
                   Comments

You may also like these lyrics