Rayvanny Nitongoze lyric

Nitongoze

Rayvanny Rayvanny
11 November 2022
209

Rayvanny Nitongoze Lyrics

Weka shida chini glass juu Tujipongeze
Usijali wanafki wambea chapa mziki wote Tucheze

Eh eh, Vanny boy
Chui
Platnumz
S2kizzy baby
 
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (eeeti)
Hiyo shingapi, hii shingapi hauna hela nini (eeeti)
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (eeeti)
Ile shingapim hii shingapi hauna hela nini

Nimeachawa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo lipo wazi sema nitakubali

Eti unantaka? eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Eh bwana wee

Hela ya kodi nainywea pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi usikonde
Akiringa akwende chukua mwingine sio kinyonge

Yu kwapiii? Yu kwapiiii huyo (Basi nitongoze)
Yu kwapiii? Yu kwapiiii huyo (Basi nitongoze)
Yu kwapiii? Yu kwapiiii huyo (Basi nitongoze)
Yu kwapiii? Yu kwapiiii huyo (Basi nitongoze)

Nimeachawa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo lipo wazi sema nitakubali

Eti unantaka? eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka? eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Eh bwana wee

S2kizzy baby
Zombie
Onyesha boxer
Ash tuone boxer
Nyenyua shati
Ingia kati
Tuone boxer
Onyesha boxer
Ash tuone boxer
Nyenyua shati
Ingia kati
Tuone boxer

Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00