Anakuuita Honey, mmefanana, Utasema mapacha, oooh mapacha
Nitajaribu kukusahau, Muendelee... hata kama umenikosea, Nikusamehe
Kumbukumbu kiwachwani, ipotee.. labda namimi nitapendwa one day
Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila mapenzi yanauma
Moyo umeondoka no huruma hauna
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wakwaanyu
One day yes, one day yes
One day yes nitapa wakwangu
One day yes, one day yes
One day yes Na mimi nitapendwa
Unavyonisema vibaya hivi unadhani sisikii
Mnavyopost kunikomoa hivi unadhani siumii
Moyo ume retire... kupenda kama hivi sirudii
Nilipanda mbegu ya upendo nimevuna presha ma BP
Najipa moyo, machana na usiku
Aya maumivu, yatageuka njozi
Najipa moyo itafika siku mtoto wa mtu atanifuta machozi
Nitajarubu kuksahau, Muendelee.. hata kama umenkosea, Nikusamehe
Kumbukumbu kiwachwani, ipotee... labda namimim nitapendwa one day
Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila mapenzi yanauma
Moyo umeondoka no huruma hauna
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wakwaanyu
One day yes, one day yes
One day yes nitapa wakwangu
One day yes, one day yes
One day yes Na mimi nitapendwa