Rayvanny Wanaweweseka lyric

Wanaweweseka

Rayvanny Rayvanny
10 September 2021
137
0
0

Rayvanny Wanaweweseka Lyrics

Uuuh Wanaweweseka hao, Wanaweweseka hao
Wenye wivu wasijinyonge, ila wapigwe shoti wafe
King'asti wangu yupo hapahapa, usinishike bega niache
Nakupa yote mumunya, utamu wa pipi mate
Baby kwa mapenzi upo chuo, hauko tena kindagate

Marashi ya pemba amechanganya amechanganya na tanga
Mtoto kama saida karoli
anavyochambua karanga na 
Simuachi nampenda ye pete mi chanda
L O V E, I love you, kama kasimu mganga

Pressure inapanda, pressure inashuka
Wanaovimba, watapasuka
Nikikupost namba insta patachafuka
Watatamani ku hack waje bufuta
Hao le le le, Wanaweweseka hao
Wanakopa bandle, watuperuzi
Wanaweweseka hao
Emb mama nipe mambo tuwaudhi
Wanaweweseka hao
Basi cheka, cheka, ukideka deka mimi
Wanaweweseka hao

Negee eh, tausi my ngona
Dede eh, umbo kifusi nyuma kishindoni
Nikubebe eh, wenye na chuki wakate shingoni
Sitaki lede eh, nina bunduki, naweka lindoni
Undongo goni, ulokufinyaga mwali weh
Mganga gani alopiga mayanga mwali wey
Majungu si mtaji (ah ya ya)
Maneno sia radi (ah ya ya)
Jasho linawatoka maji (Mmh, I love you daddy)

Marashi ya pemba amechanganya amechanganya na tanga
Mtoto kama saida karoli
anavyochambua karanga na 
Simuachi nampenda ye pete mi chanda
L O V E, I love you, kama kasimu mganga

Pressure inapanda, pressure inashuka
Wanaovimba, watapasuka
Nikikupost namba insta patachafuka
Watatamani ku hack waje bufuta
Hao le le le, Wanaweweseka hao
Wanakopa bandle, watuperuzi
Wanaweweseka hao
Emb mama nipe mambo tuwaudhi
Wanaweweseka hao
Basi cheka, cheka, ukideka deka mimi
Wanaweweseka hao


Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00