Wah, wana wanywe pombe
Wah, wana wanywe pombe
Wah, wana wanywe pombe
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Sisi tukiwa kwenye kiwanja hatuangali, bajeti
Ukiagiza moja moja naagiza baketi
Waiter lete ngorongoro ama serengeti
Kama maisha ni safari niletee creti
Ukishalewa tembea ni kama tege
Alafu jifanye ni kama unacheza reggae
Ukiona dame mdanganye ni kama una ndege
Alafu akikupa nenda ukamalize yenye
Ukipewa beer za bure husiendee na pupa
Maana utakuja kulewa ushikishwe ukuta
Na kama una stress nyingi we agiza chupa
Alafu alive kuvunja moyo kamvunje mifupa
Wah, wana wanywe pombe
Wah, wana wanywe pombe
Wah, wana wanywe pombe
Wah, wana wanywe pombe
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Wiki nzima kila hasara nashushia bapa
Huku kwetu kuna panya kamua paka
Kiufupi pipipili linawasha data
Mzee leteni maji kuna mtu kawaka
na tushamaliza bifu la pilau na gambe (gambe gambe)
Tukitaka cha arusha ninatuma afande (fande fande)
Humu ndani tunakesha kama walinzi
Alafu tumependeza t-shirt na jersey
Tuna mambo meusi ka mazisi
Unaeza kuta kichaa anacheka chizi
Wah, wana wanywe pombe
Wah, wana wanywe pombe
Wah, wana wanywe pombe
Wah, wana wanywe pombe
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Leo kata chupa
Nikishalewa, mimi sitaki kuchezewa
Nakata maji kama mamba
Leo kichaa amekata kamba
Hm, Nikishalewa, mimi sitaki kuchezewa
Nakata maji kama mamba
Leo kichaa amekata kamba