Susumila Mpaka Chee Lyrics, Paroles

Mpaka Chee

06 June 2020
8

Susumila Mpaka Chee Lyrics

(Toti on the Beat)


Umetupata kwa sherehe unanuna nuna

Wenzako tuko busy tunakunywa kunywa

Ni muda wa kufurahi na kuruka ruka

Kama mmasai nakupandisha mizuka


Tafuta toto toto

Jimwage kwenye floor oh oh

Mpaka majogoo oh oh

Usione so oh oh

Ebu tafuta toto toto

Jimwage kwenye floor oh oh

Mpaka majogoo oh oh

Usione so oh oh


Wanatuitaga mapopo

Vile tuko live, tuko live

Kila kitu krokoto

Tunakula live, kula live

Wanatuitaga mapopo

Vile tuko live, tuko live

Kila kitu krokoto

Tunakula live, kula live


Sababu leo mpaka chee (Mpakate)

Mpaka chee (Mpaka Chee), Cheche (Mpaka Chee)

Sababu leo mpaka cheee (Mpakate)

Mpaka chee (Mpaka Che), Checheche (Mpakate)

Basi leo mpakate (Mpakate)

Eeh (Mpaka chee) wo (Mpakate)

Eh mi nasema mpakate (Mpakate)

Eeh (Mpaka chee) uwouwo (Mpakate)


Nimeshakula taabu toka longi

Nikaziona siku kama hazisongi

Leo nala changu na siombi

Mambo sasa tiki hakuna longi

Tutabanana na sitoki toki

Kama kisiki mi sing'oki ng'oki

Kanapiga shaku na mashoki shoki

Kananihemesha kama doggy doggy


Huyu mtoto toto 

Yaani yuko moto moto moto

Kananipa joto joto joto

Leo nimeshinda lotto lotto

Huyu mtoto toto 

Yaani yuko moto moto moto

Kananipa joto joto joto

Leo nimeshinda lotto lotto


Ngoma inogire (Imenoga)

Walotaka tusile wameoga

Ngoma inogire (Imenoga)

Walahi hatuna taabu taabu

Walotaka tusile wameoga

Watakesha kwa mababu babu


Sababu leo mpaka chee (Mpakate)

Mpaka chee (Mpaka Chee), Cheche (Mpaka Chee)

Sababu leo mpaka cheee (Mpakate)

Mpaka chee (Mpaka Che), Checheche (Mpakate)

Basi leo mpakate (Mpakate)

Eeh (Mpaka chee) wo (Mpakate)

Eh mi nasema mpakate (Mpakate)

Eeh (Mpaka chee) uwouwo (Mpakate)

Other song(s) of Susumila

Trendings Lyrics

00:00 00:00