Tanasha Donna Gere lyric

Gere

Tanasha Donna Tanasha Donna
19 February 2020
1.4K

Tanasha Donna Gere Lyrics

Zigila parapampapa Donna na Chibude

Oh yeah

It's Platnumz


Eeh ati unapenda kooni

Nikikupa mpaka morning

Nikipekenya pekenya

Nisiwahi ichelewe

Nikikuchum mdomoni

Touch touch kiunoni

Niwe natekenya tekenya

Nakufanya ulewe


Boo you are my sweet chocolate monsieur

Sorry I contaplate on that

And baby better ride for me

And show me that you love ah oooh oh

I'ma go downtime for yah

Call you king put a crown on yah

Baby take your time with me

Let's go like river Nile


Hapa, asa show me ile kitu amekupa mama

Hebu chutama, kama inazama

Nikupige chenga kwa danadana

Tuwafunge kelele


Jioni usiku mchana, jua likizama

Tuanza kandana

Nikuonyeshe kile amenipa mama

Si wafunge kelele

Maana wanaona


Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona ge ge ge ge

Wanaona gere, wanaona gere  

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona ge ge ge ge


Don't you ever leave me solo

Or dissapoint me with these basic hoes

You make my mind go lokoloko

Utawapa misemo wa nokonoko

And you better tell them that you are mine

Better be my ride or die

Kabla ya kuwika jogoo

Asubuhi niamshe na kimoko


Eeeh! Mama kasema mwali mwana

Nipepata  nitulie Simba

Oh nitulie Simba

Oh nitulie Simba

Zile chenga vidanga dana

Vicheche nichunie Simba

Oh nichunie Simba

Oh nichunie


Asa beiby ebu show me

Ile kitu amekupa mama

Hebu chutama kama inazama

Nikupige chenga kwa danadana

Tuwafunge kelele


Jioni usiku mchana, jua likizama

Tuanza kandana

Nikuonyeshe kile amenipa mama

Si wafunge kelele

Maana wanaona


Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona ge ge ge ge

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona gere, wanaona gere

Wanaona ge ge ge ge


Asa beiby nikomeshe

Kati, katika (Kata)

Kati, kati, katika (Kata)

Donna katika (Kata)

Oh beiby katika(Kata)


When you hold on to me (Kata)

Go down follow my knees (Kata)

Moving side to side beiby (Kata)

Oh kati (Kata)

Comments

Other song(s) of Tanasha Donna

Tanasha Donna
Tanasha Donna
Tanasha Donna
Tanasha Donna
Tanasha Donna

You may also like these lyrics

00:00 00:00