
Tommy Flavour Numero Uno Lyrics
Nikikuona napatwa mawege
Ukinisgusa nakuwa bwege
Kana umenikata kiwembe
Aaahuwaaa
Kwengine kwa nani niende
Sisi utanilisha uk sembe sio huniamini
Baby
Acha hao wanaodharau
Eti
iko siku nitakusahau
Nia yao uniteme
Eti nisikupende
Wewe wangu angalau
Umewapiga bao
Najihisi sugar baby
You are numero uno
Ooh eeh
You are numero uno
Oooh number one
Numero uno parasepre
mimi na wewe baby milele
I will never late you down
In anylate down
in when you look around
I know to keep ground
Baby
Sweet palapente si coma chocolate
I drainage land never gene well
Wright for me there revelate
I want to apeal copy yangu
Sogea karibu yangu baby
uwe na mimi
kama umeme nipe energy
Nipe energy
Wacha wanaodharau
Eti siku nitakusahau
Nia yao unitemeee
Eti nisikupende
Wewe wangu angalau
Umewapiga bao
Najihisi sugar baby
Shida zako nizibebe
You are numero uno
You are numero uno
Number one
Nisipokupenda wewe
nitampenda nani
Tulipofika mungu
Wala hatukudhani
Sishakuwa tayari
kukupenda mamy mamy
Unanimalizaga vyako vitu flani
Unanitosha wengi wa kazi gani
Utamini unizidishie thamani thamani
Comments
Invalid email