Zuchu Cheche lyric

Cheche

Zuchu Zuchu
13 September 2020
1.4K

Zuchu Cheche Lyrics

Iii...arira rarira

Rarari rarari

Iyaa, iyaa iyaa eey

Tiaria, rari rari eey


(Mocco)


Te amor Te amor

Le te quero, quero

Yaliyomo yamo

Hujazoa penzi kwa beru


Mwenzako migulo chengele

Wanalia ugoya wa nje bwerere

Sema upendacho utakula jegele

Kinyama kulumagia kam nkuchumie tembele


Na bila huruma unanijuza

Kwamba unayabaruza

Mi mtoto unanikuza

Wee aah


Unanichezesha kwaito

Kwa koro waito

You dey give me banana

Your love is stamana


Unachezesha kwaito

Kwa koro waito

My baby twachezeshana


Che! Che! cheche rumba che! che!

Hey tunashikana shikana

Che! Che! cheche rumba che! che!

Tunachezeshana


Che che che rhumba che

Che! Che! cheche rumba che! che!

Zinatoka che che tukigusana gusana

Che! Che! cheche rumba che! che!


[Diamond Platnumz]

Eeeh unapendaga chocolate (Enhe)

Mavanilla nilla (Enhe)

Tam tam sweety ety (Enhe)

Nikichenga ka roja Mila (Enhe)


Brrr Okey!

Penzi koleza uje wa Dubai

Huba lipambe moto

Kama mafuta kwa karai


Okey na ulivyo katoto lito to!

Leo mpaka kokoriko ko!

Ghetto ni kulamba mwiko ko!

Sakafu hadi kwata niko ko!


Korikoko mama utaniua, nikomeshe!

Ya leo kiboko, nikomeshe!

Imezidi utamu, nikomeshe!

She! She! She! Komeshe!


Asa kukuacha wewe (Nitawezaja?)

Niende kwa mwengine (Nitawezaja?)

Ujeuri sina

Jinsi twachezeshana


Che! Che! cheche rumba che! che!

Hey tunashikana shikana

Che! Che! cheche rumba che! che!

Tunachezeshana


Che che che rhumba che

Che! Che! cheche rumba che! che!

Zinatoka che che tukigusana gusana

Che! Che! cheche rumba che! che!


Na kakara zako kinkiri

Kinkiri kanka!

Kinkiri kankara kinkiri

Zanimalizaga


Eeh na kakara zako kinkiri

Kinkiri kanka!

Venye unavyo kinkiri

Kinkiri kan kinki

Kinkiri kanka

Ki! Ka! kirinkaka!


Unanichezesha kwaito

Kwa koro waito

You dey give me banana

Your love is stamana


Unachezesha kwaito

Kwa koro waito

My baby twachezeshana


(Kwa Mix Lizer)




Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00