Zuchu  Mwambieni lyric

Mwambieni

Zuchu Zuchu
21 January 2022
12
0
0

Zuchu Mwambieni Lyrics

[Intro]

Eeeeh kaja omba nirudia

Kazirejesha salam

Zamani kakumbukiaa

Ameumisi utamu

Kaacha kopa kalamba garasa

Kaishiwa masikini

Mpeni taarifa za beti mkwasa

Mi simkumbuki sini

 

[Chorus]

Hee mwambieni mwanbieni (mali yake ishaliwa)

Aha apunguze kampeni (jimbo lishachukuliwa)

He he mwambieni mwambieni ((mali yake ishaliwa)

Aha apunguze kampeni (jimbo lishachukuliwa) wee

Kabaki mbe, mbe arijojo mbembe hatarii

Mbe arijojo mbembe

Kaambulia patupuu mbe arijojo mbembe

Yuko chali chaliii mbe arijojo mbe

Mbe mbe mbe

 

[verse]

Alidhani ameniadhiri

Alidhani amenikomoa

Mungu akanipa msitirii

Alonipoza nikapoa ah

Penzi kalijaza ndindindi

Kanimwagia mwenwere mwenwere

Pole ya kwako kidingi wa kudandia

Ngendere ngedere

Simu za usiku wa saa sita, aka staki

Kuni dm insta, aka staki

Kutwa kujicomentisha, aka staki

Kujitumisha vipicha, aka staki

 

[Chorus]

Hee mwambieni mwanbieni (mali yake ishaliwa)

Aha apunguze kampeni (jimbo lishachukuliwa)

He he mwambieni mwambieni ((mali yake ishaliwa)

Aha apunguze kampeni (jimbo lishachukuliwa) wee

Kabaki mbe, mbe arijojo mbembe hatarii

Mbe arijojo mbembe

Kaambulia patupuu mbe arijojo mbembe

Yuko chali chaliii mbe arijojo mbe

Mbe mbe mbe

 

[outro]

Hee kabaki mbeee

Mbe arijojo mbe mbe

Si wa mbele wala nyuma

Mbe arijojo mbembe

Si wa kuvutwa sukuma

Mbe arijojo mbembe

Inakuuma eeeh

Mbe arijojo mbembe

Twende kirinkikiti kirinkikiti kikiti kikiti

Kirinkikiti kirinkikiti kikiti kikiti


Comments

00:00 00:00