Zuchu Nyumba Ndogo lyric

Zuchu Nyumba Ndogo

01 July 2021

Zuchu Nyumba Ndogo Lyrics

(DJ Kidogo Dogo)
 
Ooh! Ooh!
Nikupe taarifa mwenzangu (Uuh uh!)
Yamenifika kwa koo!
We mwanamke mwenzangu (Uuh uh!)
 
Sema Ooh! Ooh!
Nikupe taarifa mwenzangu (Uuh uh!)
Yamenifika kwa koo!
We mwanamke mwenzangu (Uuh uh!)
 
Bwana ako analalamika
Kila akija nyumbani
Eti hujui kupika
Kula kwako hatamani
Kwangu kalipenda tembele
Toto laini laini
Shoga umenyimwa upole
Tajiri wa kisirani
 
Na samahani, samahani mwanzoni
Sikujitambulisha mimi nani?
Mie ndo Mke Mwenzio a.k.a Nyumba Ndogo
Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo
 
Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
Aah! Sina ubaya, sina ubaya nawe
Mke mwenza ukinichukia, wanionea bure
Ooh! Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
 
Ooh! Nasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Mke mwenza unanifaa
Mie nikiwa mwezini kwangu haiwezekani
Kwako bwana anakaa
Mambo kusaidiana wala usihuzunike
Siku izi kushare mabwana ndo fashion kwa wanawake
 
Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike
Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! Ukinichukia, wanionea bure
Sina ubaya, sina ubaya nawe
Mke mwenza ukinichukiaa, wanionea bure
Ooh! Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
 
Twendee nache, nache, nache, nache, nache
Huu mchezo wa kichina, zungusha kiuno cheko
We kichina zungusha kiuno cheko
Kama shepu huna, pambana na hali yako
Kama huna pambana na hali yako
 
Nasema Masha zungusha, we zungusha
Sasa Wanjala zungusha, we zungusha
Khadija Kopa zungusha, we zungusha
Mama Dangote zungusha, we zungusha
Mama aah! Aah! Aah!
Aaa! Aaa! Aaa!
 
We kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
Na kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
 
Twende changamkeni, changamkeni, changamkeni
Apo kati changamkeni, changamkeni, changamkeni
Na kulia changamkeni, changamkeni, changamkeni
Kushoto changamkeni, changamkeni, changamkeni
Mamaaa haaaa
 
Twendee nache, nache, nache, nache
Nacheza, eh!
 
Nasema aii mama, aii mama
Aii mama, aii mama wee!
 
Andaa besee
Andaa bese
Andaa bese
Andaa bese
Twende!
 
Mama, andaa bese
Andaa besee
Andaa besee
Andaa besee
Twende!
 
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
 
(Kamix Lizer)Comments

Description

00:00 00:00