Zuchu Tanzania Ya Sasa Lyrics, Paroles

Tanzania Ya Sasa

11 June 2020
35

Zuchu Tanzania Ya Sasa Lyrics

yolizer

We mama njoo njoo uone nchi ilivyobadilika

Tanzania ya leo oh imejengwa imejengeka

Vitaa unhungo tazara za juu barabara, tayari zinatumika

Relly yenye fiwa gobora standard relly karibu inakamilika


Tanzania ya sasa mama (ai mama)

Ya maghufuli mama (ai mama)

Inawaka waka mama (ai mama)

Inapendeza sana (ai mama)

Tanzania ya sasa mama (ai mama)

Ya CCM mama (ai mama)

Inawaka waka mama (ai mama)

Inapendeza sana (ai mama)


Naasema jua lile, literemke mama jua lile literemke mama

Nasema wapinzani watekereke sana (wapinzani watekereke)

Jamani jua lile literemke mama eh (jua lile literemke mama)

Wabaki wapinzani watekereke sana (wapinzani watekereke sana)

Wazeee watoto wanawake hospitali bure (bure maghufuli uyo)

Elimu ya msingi pamoja na secondary bure (bure maghufuli uyo)

CCM hai (hai) hai hai (hai hai)

Maghufuli hai (hai) hai hai (hai hai)


Wapinzani wameamka kaa kaa (kaa kaa)

Wameamka ka (kaa kaa)

Doctor sheni hai (hai) hai hai (hai hai)

Mama Sophia hai (hai) hai hai (hai hai)

Wapinzani wameamka kaa kaa (kaa kaa)

Wameamka ka, ka (kaa kaa)

Majaliwa hai (hai) hai hai (hai hai)

Nabashiru hai (hai) hai hai (hai hai)

Wapinzani wameamka kaa kaa (kaa kaa)

Wameamka kaa (kaa kaa)


Tanzania ya sasa mama

Ya maghufuli mama

Inawaka waka mama

Ya leo inapendeza sana (maghufuli mama)

Tanzania ya sasa mama

Ya CCM mama

Inawaka waka mama

Inapendeza sana (inangara)


Naasema jua lile, literemke mama jua lile literemke mama

Nasema wapinzani watekereke sana (wapinzani watekereke sana)

Jamani jua lile literemke mama (jua lile literemke mama)

Wabaki wapinzani watekereke sana (wapinzani watekereke sana)

Mzee mangula hai (hai) hai hai (hai hai)

Paul pole hai (hai) hai hai (hai hai)

Wabynge wote hai (hai) hai hai (hai hai)

Kamati kuu hai (hai) hai hai (hai hai)

Wajumbe wa nurse hai (hai) hai hai (hai hai)

Wenye vituo vitongonyi hai hai hai (hai hai)

Mabalozi hai (hai) hai hai (hai hai)

CCM hai (hai) hai hai (hai hai)

Wanchama hai (hai) hai hai (hai hai)

Wapinzani wameamkaa (kaa) kaa (kaa kaa)

Wameamka kaa (kaa kaaa)

Other song(s) of Zuchu

Trendings Lyrics

00:00 00:00