Zuchu Wana Lyrics, Paroles

Wana

08 April 2020
637

Zuchu Wana Lyrics

[Verse 1]

Hunywi Maji Yakapita

Me Nkiguna Ushafika

Jina Gani Hujaniita Baby

Ushauri Hutaki Kabisa

Eti Uniache Nna Visa

Vya Vifarauni Na Musa Vingi

Nikilala Naota Kama Unaniita

Nafumba Macho Navuta Shuka

Naona Napumbazika

Unishikapo Ndipo Hapo Nafarijika

Mambo Yako Mahaba Yako

Ndo Maana Natononoka Weee


[Chorus]

Wana Wana Wana Wana

Pale Tulipokutana

Mikono Tukapeana

Macho Yakatizamana

Wana Wana Wana Wana

Pale Tulipokutana

Namba Kubadilishana

Nafsi Kukubaliana Aah!


[Verse 2]

Nzi Kidonda Nimefia

Wahenga Walisema

Maradhi Yaweza Yasiwe Na Dawa

Kwa Penzi Yakapona

Rabii Amenipa Nusura

Jeuri Sina Tena

We Ndo Ganzi Umenimaliza Hasira

Siumwi Wakisema

Nidekeze Niliwaze

Washushuke Wanyamaze

Nikuna Nibembeleze

Usinipepee Nipulize

Watuone Washituke

Roho Zao Ziwaume

Mi Nipike Ule Chote

Unenepe Upendeze[Chorus]

Wana Wana Wana Wana

Pale Tulipokutana

Mikono Tukapeana

Macho Yakatizamana

Wana Wana Wana Wana

Pale Tulipokutana

Namba Kubadilishana

Nafsi Kukubaliana Aah!


[Outro]

Ukitaka Uniweze

Nibebe Wewe

Ukipenda Unibimbe Unikumbatie

Hata Watu Watuone Wakahadithie

Nitambulishe Niringe Niwavimbie

Ukitaka Uniweze Nibebe Wewe

Ukipenda Unibimbe Unikumbatie

Hata Lizer Atuone Akahadithie

Nitambulishe Nitambe Niwavimbie


Other song(s) of Zuchu

Trendings Lyrics

00:00 00:00